Malosh

Nazizika versuri

Malosh feat. Naibor Leona

3 vizualizari

Nazizika lyrics by Malosh feat. Naibor Leona

Guitar instrument
Verse 1
Ahhhh, ahhhhh, ahhhhhh
I see you walking through your door, na kenye nitafanya baby mi najijazia
Nasema mi sijali like I don’t give a damn, lakini mbona basi kila saa nachungulia
Ohh mara nikae, oh mara nisimame ama nibishe hodi kama fala nijifanye
Nacheka kama chizi kumbe ndani mi nalia, navumilia juu hadi siwezi kuambia vile

Bridge
Mi nakutaka natakuwa nawe, sioni mwingine wakunipendeza kama we
Ukinipatia muda nami najua ni we chochote utataka nitakupa

Chorus
Nobody, nobody knows siri zangu bado nazificha
Nobody, nobody knows juu bado nazizika

Verse 2
Ok ni sawa ni sawa najiblame, sazingine ni mi ndio nashindwa what to say
Ndio maana najificha ukiniona najificha juu sitaki niaibike
Najua mi nasleki niongoje, ni vile hii mapenzi ni ya wenyewe
Ni vile mi tu ni mgeni, ndio maana sisemi

Bridge
Mi nakutaka natakuwa nawe, sioni mwingine wakunipendeza kama we
Ukinipatia muda nami najua ni we chochote unataka nitakupa

Chorus
Nobody, nobody knows siri zangu bado nazificha
Nobody, nobody knows juu bado nazizika

Nobody, nobody knows, nobody knows
Nobody, nobody knows, nobody knows
Nobody, nobody knows, nobody knows juu bado nazificha
Nobody, nobody knows, nobody knows
Nobody, nobody knows, nobody knows
Nobody, nobody knows, nobody knows juu bado nazizika

Bridge
Mi nakutaka natakuwa nawe, sioni mwingine wakunipеndeza kama we
Ukinipatia muda nami najua ni we chochotе utataka nitakupa

Chorus
Nobody, nobody knows siri zangu bado nazificha
Nobody, nobody knows juu bado nazizika


  1. Part Time Love
    Part Time Love june
  2. I Choose Violence
    I Choose Violence Glokk40Spaz
  3. Cup Of Water
    Cup Of Water june
  4. Trust Me
    Trust Me june
  5. Look Me In The Eyes
    Look Me In The Eyes june
  6. Bad Boys
    Bad Boys Inner Circle
  7. Sad
    Sad june
  8. You Get Used To Somebody
    You Get Used To Somebody TIM MCGRAW
  9. Song For America
    Song For America TIM MCGRAW
  10. Cowboy In Me
    Cowboy In Me Riley Green
  11. Pawn Shop Guitar
    Pawn Shop Guitar TIM MCGRAW
  12. Wasp In the Fig
    Wasp In the Fig Eartheater

Artisti AZ